Dira ya Mwandishi

Kupitia ukurasa huu  utaweza kufahamu masuala mbalimbali ya kiuandishi, yatakayokusaidia kuboresha kazi yako ili iwe yenye tija kwako na kwa jamii.

Gharama ya Uhariri

Suala ambalo waandishi wengi hupenda kulifahamu ni kuhusiana na gharama ya uhariri ambayo anapaswa kulipia mswada wake.

uhariri bora wa vitabu

Mofolojia ya Maneno (1)

Kanuni za kifonolojia huwa na nguvu kubwa katika kujenga mofolojia mpya ya maneno, kwa kuyapa maneno mwonekano mpya.

Utafiti

Utafiti ni msingi mkuu wa uandishi wa kazi ya kibunilizi, ambapo mtunzi anapaswa kufanya utafiti kabla ya kuandika kazi…

Uhariri

Uhariri ni kazi ngumu inayohitaji weredi mpana wa lugha, na namna kazi husika (ripoti, barua, riwaya) inavyopaswa kuwa. 

Chagua Mhariri

Kimekuwa ni kilio cha muda mrefu kwa waandishi wa vitabu kulalamika kuhusu wahariri ambao hawahariri vizuri kazi zao…

Kisima cha Giningi

Ni kitabu cha riwaya kilichoandikwa na mwandishi Mohammed S. Abdullah, kilichoigusa Giningi na mauzauza yake.

Usalama

Mwandishi huru anapaswa kulinda usalama wa kazi yake aliyoiandika, hili huwezekana kwa kutumia njia za kisasa zaidi.

Muda wa Uhariri

Muda wa uhariri wa mswada huweza kutofautiana kutoka mhariri  mmoja hadi mwingine, kutokana na sababu mbalimbali.

Uhuru wa Wahusika

Unapoumba wahusika wa hadithi yako usisahau jambo hili muhimu, waache huru wahusika wako. Usiwafanye wahusika wako..

(+225) 715 001 818 | 787 001 819

info@uhariri.com