Miswada Tuliyoipitia

Uhariri.com tumepitia miswada ya aina mbalimbali, inayohusisha kazi za kifasihi na zisizo za kifasihi. Tumeweka wazi orodha ya kazi chache miongoni mwa kazi nyingi tulizofanya, sababu kuu ni kulinda usiri wa baadhi ya nyaraka tulizopitia ambazo hazipaswi kuwa wazi kwa kila mtu.

Punje ya Tumaini

Elizabeth Mramba

Miss Tz

Hussein Tuwa

Sihusiki

Hamisi Kibari

Laksana

Sango Kipozi

Tuzo

Fadhy Mtanga, Maundu Mwingizi, Laura Pettie, Hussein Tuwa & Lilian Mbaga

Barua kutoka Jela

Ibrahim Gama

Mpatanishi

Richard Mwambe

Mkimbizi

Hussein Tuwa

Gereza la Kifo

Hamisi Kibari

Kumbukizi Kilimanjaro

Gloria Michael

Turufu ya Mwisho

Hamisi Kibari

Mpitanjia

Ibrahim Gama

Balaa

Ibrahim Gama

Kipepeo

Salum Makamba

Mtafiti

Hussein Tuwa

Moyo wangu Unaungua

Hussein Wamaywa

Hawara

Hafidh Kido

Nakupenda Jini Maimuna

Dotto Rangimoto

Waraka

Hassan Mboneche

Mkesha wa Christimas

Juma Hiza

Ukuta

Yustar Lucas

Kupitia ukurasa huu  utaweza kufahamu masuala mbalimbali ya kiuandishi, yatakayokusaidia kuboresha kazi yako ili iwe yenye tija kwako na kwa jamii.

Gharama ya Uhariri

Suala ambalo waandishi wengi hupenda kulifahamu ni kuhusiana na gharama ya uhariri ambayo anapaswa kulipia mswada wake.

Chagua Mhariri

Kimekuwa ni kilio cha muda mrefu kwa waandishi wa vitabu kulalamika kuhusu wahariri ambao hawahariri vizuri kazi zao…

Utafiti

Utafiti ni msingi mkuu wa uandishi wa kazi ya kibunilizi, ambapo mtunzi anapaswa kufanya utafiti kabla ya kuandika kazi…