LUGHA NI MAISHA YETU

Kuhusu Sisi

Uhariri.com ni tangamano la wahariri & wabobevu wa lugha, wenye lengo la kusaidia jitihada mbalimbali za kukuza na kuendeleza matumizi ya lugha fasaha, kwa kuwaongoza waandishi kuboresha kazi zao. Kwa kutumia mbinu za kisasa na uweledi wa hali ya juu.

Tunafanya kazi za serikali, watu binafsi, taasisi na makampuni kutoka ndani na nje ya nchi. Tuna wataalamu wa lugha mbalimbali ikiwepo Kiswahili, Kiingereza, Kiarabu, Kifaransa na Kichina n.k wenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu.

Huduma Zetu

Karibu Tukuhudumie

Uhariri

Uhariri hufanywa kwa ubora wa hali ya juu, kwa kutumia mfumo wa track changes.

Usomaji Prufu

Kabla ya kazi kuchapishwa, tunapitia kuondoa makosa yote yaliyosalia katika mswada.

Tafsiri & Ukalimani

Tunatafsiri na kufanya ukalimani kwa kutumia lugha ya Kiswahili Kiingereza, Kiarabu n.k

Dira

Kutoa mwongozo kwa waandishi mbalimbali, waweze kutoa kazi bora zaidi kwa maendeleo ya jamii.

Shabaha

Kujenga msingi imara wa uandishi bora.

Uhariri.com

Kwa Huduma Bora Kabisa

Usalama

Kazi yako itafanywa na kuhifadhiwa kwa siri.

Muda

Kazi yako itakamilika ndani ya muda mfupi tuliokubaliana.

Gharama Nafuu

Pia tutakupa uhuru wa kulipa kwa awamu.

Wataalamu

Utahudumiwa na wataalamu wenye uzoefu wa kutosha.

Ushauri

Utakaokujenga kuwa mwandishi bora zaidi

Tutakufikia

Popote ulipo duniani. Tutakuhudumia kwa haraka.

Ahsanteni kwa Kutuamini

  1. Hussein Tuwa
  2. Dotto Rangimoto
  3. Japhet Nyang’oro
  4. Maundu Mwingizi
  5. Hamisi Kibari
  6. Elizabeth Mramba
  7. Hussein Wamaywa
  8. Sango Kipozi
  9. Fadhy Mtanga
  10. Laura Pettie

Ushuhuda

Uhariri mnaoufanya ni wa kiwango cha juu sana, kwani humuacha mtunzi akiwa mwandishi bora zaidi kupitia ripoti zenye ushauri makini, mnazotoa kwenye kila uhariri.
Hussein Tuwa
Rais wa UWARIDI

(+225) 715 001 818 | 787 001 819