SOMA HADITHI ZETU
Mkimbizi, Sihusiki, Mwimbula na hadithi nyingine nyingi za Kiswahili, zote hizo utapata nafasi ya kuzisoma katika ukurasa huu. Kwa miaka ya hizi karibuni kumekuwa na jitihada na hamasa kubwa kwa watu kusoma vitabu, usomaji wa vitabu iwe vya hadithi au vya aina nyingine yoyote husaidia kuongeza maarifa. Ukurasa huu umetengwa maalum kuendeleza jitihada hizo za kuhamasisha usomaji wa vitabu.
Kwa kuwawekea hadithi za waandishi mahiri waliotenga muda wao kwa ajili ya kutuelimisha kwa namna ya kuvutia.
Miss Tz
Riwaya hii imetungwa na mwandishi Hussein Tuwa, riwaya zingine alizoziandika ni Mfadhili, Mkimbizi, Mtuhumiwa, Wimbo wa Gaidi, Bondia , Utata wa 9/12.
Mkimbizi
Riwaya hii imetungwa na mwandishi Hussein Tuwa, riwaya zingine alizoziandika ni Miss Tz, Mfadhili, Mkimbizi, Mtuhumiwa, Wimbo wa Gaidi, Bondia , Utata wa 9/12.
Maduka ya Vitabu
Nunua vitabu mbalimbali kutoka katika maduka ya vitabu & wauzaji walioenea kote nchini.
- Duka la Kona ya Riwaya, Kinondoni Block 41 (0655 428085)
- Elite Bookshop, Tangi Bovu.
- Come & Read Boostore, Ununio (0717978899)
- Posta Mpya, jirani na sanamu la askari (0755454152)
- Duka la Fanani na Hadhira (0754599646).
- Kituo cha daladala ‘Bima’, karibu na baa ya Facebook (0719226293)
- Kwa Markus Mpangala 0748623743
- Nyerere road, Mbele ya msikiti wa Ijumaa (0762002992)
- Soko Kuu kwa Wauza Magazeti (0786422755)
- Nje ya jengo la KIMAHAMA (0686965223).
- Lugarawa Bookshop, barabara ya 8, karibu na Tamisemi (0717996474)