Uhariri.com tumepitia miswada ya aina mbalimbali, inayohusisha kazi za kifasihi na zisizo za kifasihi. Tumeweka wazi orodha ya kazi chache miongoni mwa kazi nyingi tulizofanya, sababu kuu ni kulinda usiri wa baadhi ya nyaraka tulizopitia ambazo hazipaswi kuwa wazi kwa kila mtu.