Dira ya Mwandishi
Kupitia ukurasa huu utaweza kufahamu masuala mbalimbali ya kiuandishi, yatakayokusaidia kuboresha kazi yako ili iwe yenye tija kwako na kwa jamii.
Gharama ya Uhariri
Suala ambalo waandishi wengi hupenda kulifahamu ni kuhusiana na gharama ya uhariri ambayo anapaswa kulipia mswada wake.
Mofolojia ya Maneno (1)
Kanuni za kifonolojia huwa na nguvu kubwa katika kujenga mofolojia mpya ya maneno, kwa kuyapa maneno mwonekano mpya.
Utafiti
Utafiti ni msingi mkuu wa uandishi wa kazi ya kibunilizi, ambapo mtunzi anapaswa kufanya utafiti kabla ya kuandika kazi…
Uhariri
Uhariri ni kazi ngumu inayohitaji weredi mpana wa lugha, na namna kazi husika (ripoti, barua, riwaya) inavyopaswa kuwa.
Chagua Mhariri
Kimekuwa ni kilio cha muda mrefu kwa waandishi wa vitabu kulalamika kuhusu wahariri ambao hawahariri vizuri kazi zao…
Kisima cha Giningi
Ni kitabu cha riwaya kilichoandikwa na mwandishi Mohammed S. Abdullah, kilichoigusa Giningi na mauzauza yake.
Usalama
Mwandishi huru anapaswa kulinda usalama wa kazi yake aliyoiandika, hili huwezekana kwa kutumia njia za kisasa zaidi.
Muda wa Uhariri
Muda wa uhariri wa mswada huweza kutofautiana kutoka mhariri mmoja hadi mwingine, kutokana na sababu mbalimbali.
Uhuru wa Wahusika
Unapoumba wahusika wa hadithi yako usisahau jambo hili muhimu, waache huru wahusika wako. Usiwafanye wahusika wako..